Hapana, Nahisi nataka kuwa Mchawi!

Hapana, Nahisi nataka kuwa Mchawi!

Mzee wa kurekebisha

Senior Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
178
Reaction score
169
Kuna mambo nimejifunza kwa watu, na mengine nimejifunza kupitia humuhumu JF, Dah, yaani wakuu nahisi kabisa naelekea kuwa mchawi, yaani........ Naomba wanielewe tu watakaonielewa inatosha ingawa wengine watakuwa wagumu na pengine kuhitaji ufafanuzi zaidi, sitafafanu nasisitiza sitafafanua zaidi ya kusema tu hapa JF unaweza kujifunza hata uchawi KAZI KWAKO KUCHAGUA .
 
Mimi tayari ni mchawi kupitia threads nyingi za jamii intelligence.
 
Yaani hapo yatari umesha kuwa mchawi tayari, sasa vitendo utaviweza maana ujue kupaa na ungo usiku na mambo mengine yakuingia kwenye nyumba za watu kwakupitia kwenye pembe za ukuta,

Ukifanikiwa kuwa mchawi uje nikupe kazi tupige hela
 
ghrams khoi.mbreeep..tetgho ndiss dsii phyuskoi....??...haya kama wewe ni mwenzetu nimekuhulizaje hapo..???[emoji19] [emoji19] ....
 
Back
Top Bottom