nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Usirahishishe mkuu ukiwa uko mwepes mwepes unalipuliwa nje ndani na kusali kwako.Hakuna uchawi popote nje ya dhana za kiimani tu.
Hao ni wale walokole jina.WALOKOLE NDIO WACHAWI. period.
Amen, Glory be to GODHapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi, kuvunjiwa nazi mlangoni, kuchinjiwa ndege sijui vyote hivi haviwapati kamwe.
Wewe ndiye unarahisisha kufikiri mimi nasali.Usirahishishe mkuu ukiwa uko mwepes mwepes unalipuliwa nje ndani na kusali kwako.
AmenAmen, Glory be to GOD
Utajua weweWewe ndiye unarahisisha kufikiri mimi nasali.
Mimi atheist. Siamini uwapo wa Mungu. Siamini uwapo wa uchawi. Siamini katika kusali.
Sasa habari za kusali unaniletea vipi mimi Mnyambisi?
Nitajua mimi wakati wewe ndiye ushanipangia?Utajua wewe
Wachawi wapo ukibisha unapaswa upelekwe mirembeNitajua mimi wakati wewe ndiye ushanipangia?
Nakwambia hivii, hakuna uchawi.
Hizo habari za uchawi ni imani za watu wajinga tu.
Ushaelewa hilo somo?
Hahahaha hoja zikisha lazima utie mpira kwapaniUtajua wewe
thibitisha kama kuna uchawiHapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi, kuvunjiwa nazi mlangoni, kuchinjiwa ndege sijui vyote hivi haviwapati kamwe.
Wengi wao hawajui zipo nguvu za MUNGU zinafanya kazi kweli kweli.Yes
Yesu ni Mungu.
Nashangaa kwanini watu hawampi Yesu maisha yao huku kwa Yesu kuna raha
Unasomaga biblia?thibitisha kama kuna uchawi
Tuanze mwanzo kabisa.Wachawi wapo ukibisha unapaswa upelekwe mirembe
Aiseee Yesu kiboko.Wengi wao hawajui zipo nguvu za MUNGU zinafanya kazi kweli kweli.
Very poor mindset. Hizi ndio zile akili unakuta anatembea amefumba macho akijikwaa anaanza kukemea pepo limeshika njia ππππHapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi, kuvunjiwa nazi mlangoni, kuchinjiwa ndege sijui vyote hivi haviwapati kamwe.
Hua unasoma biblia?Tuanze mwanzo kabisa.
Uchawi ni nini? Na ukiona kitu unachofikiri ni uchawi, utajuaje huu ni uchawi kweli, na si kitu tofauti usichokielewa wewe tu?
Kwa mfano, ukimfufua babu aliyefariki miaka 200 iliyopita aje aione dunia ya leo, ma TV, internet, magari, ndege, silaha, na kadhalika, ataona vyote hivi ni kama uchawi tu.
Wakati hakuna supernatural power inayotumika hapo popote. Ni natural power ya technology tu.
Vyote hivi si uchawi, ni teknolojia tu asiyoijua.
Sasa, na wewe ukiona kitu ukasema hiki ni uchawi, utajuaje huu ni uchawi kweli na si teknolojia tu ambayo bado hujaielewa?