Hapana Uchawi kwa Walokole kindakindaki. Haina haja ya ndumba

Hapana Uchawi kwa Walokole kindakindaki. Haina haja ya ndumba

Hua unasoma biblia?
Sio tu naisoma, naichambua kimantiki na kuikosoa kwa kutumia chambuzi za wanatheolojia mahiri.

Nikikuwekea contradictions zilizopo kwenye Biblia sifikiri kwamba unaweza kuzitatua.

Kwanza unaelewa contradiction ni nini?
 
Hapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi, kuvunjiwa nazi mlangoni, kuchinjiwa ndege sijui vyote hivi haviwapati kamwe.
uko sahihi mkuu

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Back
Top Bottom