Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Huenda Freeman Aikaeli Mbowe akatangazwa mshindi wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kujizolea kura zaidi ya 700 za wajumbe halali waliothibitishwa kua wapiga kura na kamati kuu.
Ni wazi na ukweli usiofichika kwamba kanda zenye wajumbe wengi zaidi wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa ni ngome imara za Freeman Aikaeli Mbowe, na kwahivyo anakwenda kushinda uchaguzi huo wa CHADEMA Taifa kwa kishindo kikuu.
Vyote itakavyokua, numbers zina mfavor Freeman Aikaeli Mbowe kwa namna zote.
Anakwenda kushinda uenyekiti kwa kupata kura kutoka katika kila kanda ya kiutawala ya CHADEMA, ukilinganisha na wagombea uongozi wengine ambao wana ushawishi na umaarufu mkubwa mitandoni na nje ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa.
Wagombea uongozi wengine katika uchaguzi huu wa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, hakuna atakapata kura zaidi ya mia2 hata wakiungana 🐒
Mungu Ibariki Tanzania