Hapatakua na uchaguzi wa round ya pili, huenda Freeman Mbowe akachaguliwa kua mwenyekiti wa CHADEMA kwa kura zaidi ya 700 za wajumbe wote

kura za wajumbe zimethibitishwa tayar gentleman,

niambie kanda 4 tu ambazo Lisu anaweza kumshinda mbowe
kati ya zilivyoorodheshwa ?πŸ’

huko online mlikua wajumbe wangapi kwa mfano gentleman kwa faida ya waDau ?
Gentleman 😊 Kuna polls hapa jfs, millad ayo e.t.c...

Gentleman 😊 yaan kwa simple logic ukimsikiliza HECHE na WENJE unajua makapi,pumba Michele.


WENJE ni kasha hawezi kujielezea ( can't express himself better in a minutes,,)

WENJE almanusra ameze ULIMI.
 
Hivi wewe ccm mbona mkuda kiasi hiki?
 
Kumbe upo mpk huku.....

Sasa kumekuchaaa jogooo ameshawikaaa....
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
numbers matters more gentleman.

kujieleza ni taaluma.
wakati nasoma pale chuo cha diplomasia, kuna somo la confidence building kabisa,as a diplomatic Lazima uwe jasiri mwenye kujieleza kwa mpangilio,

huku kwenye siasa point tatu ndio muhimu zaidi mwenye game πŸ’
 
Kwa faida ya nani,,,?? Media na polls zotee zinaonyesha MBOWE amezidiwaa....LISU ONLINE Anaongoza kwa 85, %%
Media nd wanaopiga kura? Mihemko ishashinda mitandaoni na numbers zitaongea ukumbini. Awe Mbowe awe Lissu, Chadema hii itachukuwa muda mrefu sana kurudi kama ya zamani kama sio kufa kabisa. Kwa hali nnayoiona, upinzani bado sana.
 
Mbowe akishinda kwa namna yoyote ila nitafedheheka.. Kiu yangu kuona Odero au Lissu anashinda ili kuonesha hiyo demokrasia, iweje uhubiri demokrasia halafu uatamie kiti miaka 20.. !!!
 
Ukiona mwenyekiti wa upinzani anapigiwa chapuo na ccm ujue kunashida ndani yake.

Eti leo ccm wanamtaka mbowe aise kweli mbowe ananunulika kwa pombe tu
E. MuNGU MSAIDIE LISSU.
 
Media nd wanaopiga kura? Mihemko ishashinda mitandaoni na numbers zitaongea ukumbini. Awe Mbowe awe Lissu, Chadema hii itachukuwa muda mrefu sana kurudi kama ya zamani kama sio kufa kabisa. Kwa hali nnayoiona, upinzani bado sana.
Giza ( mbowe) huondolewaa na Nuru (lisu) na iwe ivyo...
 
Hilooooooo! Chali. Jinga. Matapeli mwaka huu yote mnakwisha. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…