Wakati Wa-Tanzania asilimia 90 ni maskini wa kutupa mswahili mmoja anavaa pete ya USD 76,000, ili iweje? unajua kuna kutenda DHAMBI na pia kuna KUKUFURU! hii basi ndo KUFURU yenyewe!!
Tukumbuke tulikotoka, elimu vijijini duni, kina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua, miundombinu yetu ndo hiyo................... nadhani hata ndugu zake Happiness ni CHOKA MBAYA ............... "ukifa utapelekwa kijijini na huko utazikwa na watu maskini saaana wenye nguo zilizojaa viraka viraka"
Mi simo