LOL!...I knew you are craving for beer!....beer siyo nzuri shem zina starch sana why don't you go for wine?.....zipo more healthy and class.
Wine zinanipa side effects kwangu......is like Viagra to me! LOL
Wakati Wa-Tanzania asilimia 90 ni maskini wa kutupa mswahili mmoja anavaa pete ya USD 76,000, ili iweje? unajua kuna kutenda DHAMBI na pia kuna KUKUFURU! hii basi ndo KUFURU yenyewe!!
Tukumbuke tulikotoka, elimu vijijini duni, kina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua, miundombinu yetu ndo hiyo................... nadhani hata ndugu zake Happiness ni CHOKA MBAYA ............... "ukifa utapelekwa kijijini na huko utazikwa na watu maskini saaana wenye nguo zilizojaa viraka viraka"
Mi simo
Ilaumu serikali wewe sio mtu kabeba Box kapata mshiko wake then unampangia matumizi? Umaskini wetu unaletwa na sera mbovu na zisizo tekelezeka....!!
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu

ngoja tumwulize mdogo wangu Heaven on Earth atujuze kilitokea nini, au King'asti, unaijua hii habari ya mujini?mbona hajaolewa hadi leo
ngoja tumwulize mdogo wangu Heaven on Earth atujuze kilitokea nini, au King'asti, unaijua hii habari ya mujini?
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.
Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000
Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu
ndo maana nikakuulizia nikajua hapa tunaweza pata habari ya mujini......:A S-confused1:hahahaa my dada my dada..haka ka habari ka siku nyingi nako ila nakajua.....kuolewa mchezo........