Hallelujha mamacita!....ni udhalilishwaji tuu huo...wanawake wengi hawajui kuwa wanaharibiwa vizazi vyao kwa kuwaendekeza hawa akina Masa you know.....once ukianza wanasema huwezi kuacha i am a dokta and i know this...una create bacteria tuu huko wanakuewa wanazaliana no matter how many time uende ku flash.....na kila wakianza kuwasha tuu unahitaji kukunwa and what do you do go for more,.......itabidi bht shosti tuanzishe kampeni ya kupinga hii tabia mbaya kabisa....ni laana kabisa i think mwisho wa dunia unakaribia....
Masa my shemeji utaenda motoni....repent start today