Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975

Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975
1730756101961.jpg
 
Mzee Mohamad said, Pascal Mayalla na FaizaFoxy walikuwa wakijivinjari Empire Cinema, New Chix, Avelon na chips za Salamander enzi hizo hizo
= New Chox


Salamander wakati huo bado Dr. Hashim anatibu watu. mdogo wake Ahmd ilikuwa hajafunguwa salamander bado.

Chips zilikuwa Mermaids ikaja kuwa palipokuja kuwa mbowe baada ya babake huyu mwenyekiti wa chadema kujibinafsishia mali ya umma. alipokuwa msajili wa majumba.

Msifikiri ufisadi umeanza leo, ndiyo maana lili[obumburuka mbowefuli akaja kumfukuza mbowe akafukuzwa pale kama mbwa.

Alikuwa anarusha mawe wakati mwenyewe yupo kwenye nyumba ya vioo.
 
Back
Top Bottom