Elections 2010 Hapo TSJ (Kawe seat) so far matokeo ni hivi

Elections 2010 Hapo TSJ (Kawe seat) so far matokeo ni hivi

hicho kituo waliopiga kura ni vijana wa usalama wa Taifa wana nyumba zao hapo walijengewa na mkapa flats....sasa you can imagine kama slaa anaweka ushindani kwenye kituo kinachotumiwa na watumishi/askari wa Ikulu.. hats else tells you about there loyalty to JK especially hawa wa ngazi za chini!!!

MoD naomba ruhusu thread moja kwa kila mkoa kwa ajili ya matokeo ...ili kila mwenye results apost kwenye mkoa husika ....
Naomba weka thread moja ya matokeo yaliyoidhinishwa na kutangazwa na NEC!!! OFFICIAL NEC RESULTS...
NA thread moja OFFICIAL RESULTS AS PER CHADEMA /CCM OR CUF

nI wazi haya tunayopost toka mikoani matokeo yakishakuwa official tutalinganisha ya vyama na NEC....haya yetu tutaweza kuyaondoa maana lazima along the way yatakuwa contraversial kwa watu wanaoweza ku mislead...


Mh. umeongea vema, nakubaliana na wewe.

 
huyo jk kazipata wapi hizo?
Nccr manunuzi chali.
Mdee oyeee!

walio kwenye campagn team ya Halima wamkumbushe kuwa yule muhuni Angella alivyoibuka na vituo hewa msitu wa Pande na kumbwaga KIPPI WARIOBA...infact kippi alishashinda na angela alisaini kukubali matokeo....kilichotokea baada ya matokeo kujumuishwa kikaibuliwa kituo bubu cha PANDE .....[ni msitu wa hifadhi ,hauna watu zaidi ya waangalizi wa msitu]...chenye wapiga kura 1,000 na kuzalisha kura zilizomfanya angela aibuke toka mshindi wa tatu hadi mshindi "rasmi"....that woman is a serial thief..
 
Back
Top Bottom