hicho kituo waliopiga kura ni vijana wa usalama wa Taifa wana nyumba zao hapo walijengewa na mkapa flats....sasa you can imagine kama slaa anaweka ushindani kwenye kituo kinachotumiwa na watumishi/askari wa Ikulu.. hats else tells you about there loyalty to JK especially hawa wa ngazi za chini!!!
MoD naomba ruhusu thread moja kwa kila mkoa kwa ajili ya matokeo ...ili kila mwenye results apost kwenye mkoa husika ....
Naomba weka thread moja ya matokeo yaliyoidhinishwa na kutangazwa na NEC!!! OFFICIAL NEC RESULTS...
NA thread moja OFFICIAL RESULTS AS PER CHADEMA /CCM OR CUF
nI wazi haya tunayopost toka mikoani matokeo yakishakuwa official tutalinganisha ya vyama na NEC....haya yetu tutaweza kuyaondoa maana lazima along the way yatakuwa contraversial kwa watu wanaoweza ku mislead...