Hapo ulipo Asali imekufikia au bado?

Hapo ulipo Asali imekufikia au bado?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa.

Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea.

Hivyo Asali imeshafika kwa waheshimiwa madiwani kwahiyo Mbunge ananufaika pia na marupu rupu ya udiwani.
 
Nyuki walio kwenye mzinga ni wakali sana hawataki na sisi nyuki tuliokuwa nje kula asali.
 
Mabunge yanakula kodi yetu huku vijana mitaani wanakosa ajira...
Kwakuwa wanamahela kwasasa propaganda kila kigazeti na Kila ki TV eti miaka mitatu amefanyia maajabu!!! Zoezi linaongozwa na lile kundi kuu la machawa afrika Klauds efemu.
 
Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa.

Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea.

Hivyo Asali imeshafika kwa waheshimiwa madiwani kwahiyo Mbunge ananufaika pia na marupu rupu ya udiwani.
Aisee😂😂😂😂😂😂
 
Ndio nipo nabugia hapa Hadi nimevembewa
 
Back
Top Bottom