DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Jamaa wametengeneza mfumo waoCake ya taifa ni Kwa ajili ya baadhi ya watu....wanateuana na kulipana wakitoka hapo wanaenda kuwatusi graduate
Anza kampeni mapemaNia yangu ni kuchukua kata 2025 ..Asali tule wote
Kampeni nishaanza..na kampeni za ushindi hazinaga kelele..Anza kampeni mapema
Kila la kheriKampeni nishaanza..na kampeni za ushindi hazinaga kelele..
Ndio maana nataka niwe sehemu yao ..sitaki kuwa mlalamikaji wkt nafasi ipo ..Jamaa wametengeneza mfumo wao
Ahsante...Kila la kheri
Pambana comradeNdio maana nataka niwe sehemu yao ..sitaki kuwa mlalamikaji wkt nafasi ipo ..
PamojaAhsante...
AiseeππππππWakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa.
Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea.
Hivyo Asali imeshafika kwa waheshimiwa madiwani kwahiyo Mbunge ananufaika pia na marupu rupu ya udiwani.
Ndio nipo nabugia hapa Hadi nimevembewaWakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa.