mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Noma sana utumishi kwa moto sana kama hujapita kwenye hicho kikaango mtu anaweza asieleweKundi zima limefeli, na hao wote GPA yao undergraduate haipungui 3.8!!
Kule pagumu ila Tz changamoto kila hatua n vikwazo tu.Aisee kwa huo mkando lazima utumishi wapigwe vita yani hakuna hata mtu mmoja ambaye amefukasha hamsini! Duu noma sana isee!
Kuna mtu wangu nae ana jianda interview ya assistant lecturer nimeshamwambie asome kwa uwezo wake wote…
Inamaa vijana hawakujiandaa vilivyo hakika pamoja na GPA kubwa lakini wameliwa vichwa hakika utumishi kwa moto sana…