Happiest Birthday to you My Cute B

Happiest Birthday to you My Cute B

Nimekumbuka kipindi nipo msichana, kila nikitongozwa natangaza birthday siku tatu mbele[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Nilikula sana keki na mazawadi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha, noma. Hii mbinu nilishawahi kumshtukia mtu mmoja alikuwa anaitumia.

Maana tulijikuta watu kama watatu tuna birthday kila mmoja ya kwake na wote tumepewa na yeye mwenyewe.
 
Yaani hapo kwenye simu ndo unapewa namba analogy. Ukiuliza namba yenye WhatsApp unaambiwa simu imeharibika.

Noma sana.
Uko vizuri kaka unazijua zote mbinu zao hahahahahah.

Lakini unajua mtu kama Hannah Hawezi kukufanyia huu utoto, yuko matured na hizo stage amepita. Unapoa-approach hawa watoto wa vyuo ndio ujiandae na hizi mambo hahaahahah
 
Back
Top Bottom