Happiest Birthday to you My Cute B

How on earth cant i be positive when it comes to ya dada mkubwa [emoji4][emoji4][emoji4].

Em cheki grammar kama nimepatia thou [emoji4]
Haha.!
Bwaana mdogo wangu.! Hapo tu ndipo nakukubali you never let me down.!!
 
Ushahidi Wake hata haueleweki.
Hajui Kama sweetielee kubadili tu username.
Ule Uzi niliusoma wote na nyinyi wawili wote mlicomment.
Yaani anadhani yeye kuwa na I'd 2 anazojitag tag kila siku basi anapiga ramli kwamba kila mtu anazo
Kakorofi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Id ya kike na ya kiume?

Young sis, binadamu ndivyo tulivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anadhani yeye kuwa na id mbili basi kila mtu anazo.
Huu si Uzi wa kwanza kuandika hayo Mambo ya I'd..umbea umbea tu tena wa uongo wa kukadiria Mambo.
Sasa screenshot ya uzi wa Paula sijui hapa inaingia vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu, Ni ngumu sana kumuaminisha mtu vile unavyoamini wewe, chochote anachokifikiria mtu juu yako kama hakiathiri lolote katika maisha yako then let them think whatever they need..!
 
Mimi ni bukheri wa afya dear!!

Habari za huku sio nzuri saana ndugu, ila namshukuru Mungu uzima upo!
Jamani jamani, ni nini tena?? Itabidi nifungue mlango wangu japo kwa muda mchache uniambie vizuri maana si sawa kuniambia hapa.

Mola akupiganie sakayo
 
Jamani jamani, ni nini tena?? Itabidi nifungue mlango wangu japo kwa muda mchache uniambie vizuri maana si sawa kuniambia hapa.

Mola akupiganie sakayo
Amen amen to that dear!!

Mungu anayeruhusu jaribu anajua imani yetu ni kubwa kuliko jaribu dear!! Ni ngumu sana jamani ila namshukuru Mungu, atatupa ujasiri wa kulibeba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…