Happiest Birthday to you My Cute B

Twinnie wa Wenyewe

Japo nimechelewa lakini napenda kuchukua nafasi hii kukutakia Siku njema ya kuzaliwa kwako. Mungu na Akakuongezee miaka mingine mingi yenye heri, baraka, amani na upendo wewe mwenyewe pamoja na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Best hivi unajua birth date yangu? Itabidi nikwambie.
Au hivi vitu unafanya kwa cute b tuu?. Tatizo hata sioni wivu[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…