Happiness...

Happiness...

Hahahahahah lol! kwani nilikuwa naye wa zamani!? 🙂🙂 Bado namtafuta double B
Si unajua kipya kinyemi, huwezi ganda jf kama una penzi jipya, maana bado unataka kujijengea uaminifu, na kumuonyesha unamjali kwa kutoshikashika simu wakati ukiwa nae au nadanganya
 
"I'll Do Anything"

I don't want you, I need you
I don't care for you, I love you
I'll be there for you because of you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
I won't sing for you, I'll belt for you
I won't cry for you, I'll bawl for you
I won't die for you, I'll live for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
If you want me to stay, then I'll stay
Oh, oh, oh
If you want me to go, I'll go
Ooh, Ooh, Ooh,
Ooh, Ooh, Ooh
I don't care for you, I love you
I don't want you, I need you
I won't kill for you, I'll live for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
[repeat]
Mkuu vipi haya mashairi ya wimbo wa nani?
 
Yah tulizo, unasound kama happy people, unafanya nini kuhakikisha wapendwa wako wanakuwa na furaha siku zote

Ha ha ha ...very simple..
  • Ninaonyesha kwa vitendo vile ninavyoahidi hata kama vina machungu..
  • Wao wanaamini ya kuwa furaha yao iko kwangu..nami nina wahakikishia kwa vitendo kuwa wanavyoamini ni kweli..
 
Wow watakuwa wanafuraha sana kuwa na mtu kama wewe katika maisha yao, ahsante kwa kushare, ushawahi kufanya kitu ambacho hupendi ili kuwaplease uwapendao
 
.. ushawahi kufanya kitu ambacho hupendi ili kuwaplease uwapendao

Duh! una maswali magumu.. Anyway..Labda ni kweli wataka kujua hilo..

Sasa, kama utafuata principle ambazo nimeandika pale juu..itakuwa ngumu kuona kuwa unafanya kitu ambacho hupendi ili kum-please fulani.
Kama kweli unampenda mtu awe Boyfriend, Mke, Mtoto, mzazi.. chochote utakachojitolea kufanya ili mpendwa wako awe na furaha basi unafanya kwa mapenzi yako..Kumbuka kama kweli unampenda mtu basi nafsi yake inakuwa ni sawa na nafsi yako.. You don't see the difference.

Pili.. Kumbuka kuwa kama binadamu kuna vitu vingi tunatofautiana na wapendwa wetu.. kuna tofauti kubwa.. lakini ukiweka pembeni zile tofauti zetu..halafu tukakubaliana kufanya kitu fulani..basi hapo tunafanya kama nafsi zetu. Hakuna kulazimishana..Kwa mfano..kuna maamuzi ambayo binafsi nawezachukua kwa ajili familia yangu ambayo kama nikiweka hapa kuna wataosema sikupenda au nimelogwa lakini ukweli si hivyo.. Ni maamuzi tu kama utafanya maisha yako yawe simple..nawe mwenyewe uwe simple!

All in all,.. Sijawahi kufanya kitu ambacho sikipendi ili ku-please wale naowapenda. vyote ninavyofanya ni kwa ridhaa yangu binafsi..
 
Im not happy today kwa hiyo hata kuongelea happy moment sijisikii, sorry bb i will be back kesho humu
 
I like that, you dont have to walk a 1000 miles to make somebody happy kama huwezi, au sio...tulizo uko juu
 
Fri(END), Boyfri(END), Girlfri(END), Bestfri(END). Everything has an END except...Fam(ILY)! It Has 3 Letters that says I LOVE YOU. If you love your Family so much they'll love you back with unconditional love, and happyness will not be an issue, because it will be there alwayz
 
upendo haupatikani kwa mwanadamu pasipo roho wa Mungu ndani yenu wote hivyo Mungu kwanza mengine yanafuata
 
Back
Top Bottom