OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Thanks bro ..[emoji3][emoji3]happy birthday brother..
Ahsante dada..[emoji3][emoji3]
Uezi amin leo tunapindua meza kibabe..hongera sana brother,
ila tarehe yako ya kuzaliwa imeangukia siku mbaya, huenda leo utachukua zawadi ya magoli matano kutoka kwa bavarian.
nitakuletea gari la kuzimia moto pindi utakapokuwa unajiandaa kuzima mishumaa ya keki yako.
AHSANTE sana bro, ubarikiwe tena na tena..Happy bday brother. Uishi miaka mingi na ufanikiwe kwa juhudi zako kupata kheri nyingi za dunia.
Hahahaha wakongwe kama sisi utatuambia nini...Huu ndiyo umri wa mashabiki wa Chelsea. Ukimuona kazidi hapa jua alikua shabiki wa Liva, Arsenal au Man United
Hahaha Bavarian leo wanakaaHappy birthday mwana Chelsea.
Hope Buyern watakupa zawadi yako leo.
Muller kasema "Nataka ijulikane kwamba hakuna haja ya kutegemea miujiza"Hahahaha wakongwe kama sisi utatuambia nini...
Hongera kwa kunipiga FA..
Angalia leo tunapindua meza kibabe..