Happy 26 birthday to me...

Happy 26 birthday to me...

hongera sana brother,
ila tarehe yako ya kuzaliwa imeangukia siku mbaya, huenda leo utachukua zawadi ya magoli matano kutoka kwa bavarian.
nitakuletea gari la kuzimia moto pindi utakapokuwa unajiandaa kuzima mishumaa ya keki yako.
 
Uezi amin leo tunapindua meza kibabe..

Ahsante sana bro..[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom