Hongereni sana ...kwenye suala la ndoa mie nahis bado kidogo jamani..!kuleni kwanza bata[emoji4]
We mzee hebu nitoe katika list yako
Mbona unanitafutia wachumba halafu unakuwa hivi[emoji23][emoji23]
Mm naomba nigombane na wewe mwakani tutangaze anniversary! Naanza hivi......Huna lolote Sura mbovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Miaka miwili na babu bado sijapokea mahari... nyie vijana mmeshanishinda wallah...
Mi nawaangalia tu...
View attachment 1039772
Na mimi lini nitapata wangu humu mwakani siku kama ya leo tufurahie anniversary yetu?? Wadada embu njoeni tuyajenge basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Only two years Front? I thought it was more than 2 years. Good luck and all the best in your journey. I wish u love [emoji3590][emoji3590][emoji3590] happiness good health and success. You two are very good example that love can cherish anywhere under the sun even JamiiForums [emoji12]
Ukimuona smart11 mwambie BAK wa JamiiForums anamsalimia sana.
Hongereni sana, mimi nawapenda.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Japo mahusiano yao yana muda mfupi ukilinganisha na mahusiano ya wengine kule Duniani ikiwemo mimi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naunga mkono hoja ya ''wafunge ndoa sasa"
Mimi bado natafuta rafiki mwenye chura!
Hongereni kwa kuendela kupenda na kushibana kihisia na kiakili kila siku. Nadhani kwasasa zawadi kuu ya upendo baina yenu mnayotakiwa kupeana ni kutoka stage hiyo mliyopo sasa na muanze kuitana na kuitwa mke na mume. It always feels lovely,safe and unbreakable when you have someone who understand you better by you side and love you with his/her wholeness.
Mnatupa picha kubwa sana na funzo kuwa mapenzi kama hayo yenu, kumbe yanapatikana katika ulimwengu wa leo. keep loving and enjoying one another to the fullest.
May you enjoy these beautiful songs please.
Ila we jamaa kwa mashairi unaweza chukua top 3 list yote hapa jukwaani hahaa..(joking)
Hongereni sana...we wish you in the next two coming yrs muwe mmepanda madhabahuni
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
mahondaw wangu ni kama nyama ya kuku, hachoshi kumtafuna kila siku...
Kula mchicha kila siku inataka moyo....
Chunguzaneni kwakweli..weakness zenu mzitambue ...na kama mtaweza zihimili fungen ndoa..kuna mambo unaweza hisi ni ya kawaida ila huwa yanakuja kutikisa sana ndoa..jua km mwenza wako anawajali hata kihisia not financialliy ndugu zako esp wazaz..ukiona yupo yupo tu..jua kuna shida..vimfano ni vingi..!
Continue in the same path with your paces...congrats...si mseme amen to these two lover birds
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila we jamaa kwa mashairi unaweza chukua top 3 list yote hapa jukwaani hahaa..(joking)
Hongereni sana...we wish you in the next two coming yrs muwe mmepanda madhabahuni
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo