Happy 2nd anniversary my heartbeat!

Happy 2nd anniversary my heartbeat!

Status
Not open for further replies.
Chunguzaneni kwakweli..weakness zenu mzitambue ...na kama mtaweza zihimili fungen ndoa..kuna mambo unaweza hisi ni ya kawaida ila huwa yanakuja kutikisa sana ndoa..jua km mwenza wako anawajali hata kihisia not financialliy ndugu zako esp wazaz..ukiona yupo yupo tu..jua kuna shida..vimfano ni vingi..!
 
Tehteh.. Asante sana rafiki zimefika
Only two years Front? I thought it was more than 2 years. Good luck and all the best in your journey. I wish u love [emoji3590][emoji3590][emoji3590] happiness good health and success. You two are very good example that love can cherish anywhere under the sun even JamiiForums [emoji12]



Ukimuona smart11 mwambie BAK wa JamiiForums anamsalimia sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshaallah mkuu.
Hongereni kwa kuendela kupenda na kushibana kihisia na kiakili kila siku. Nadhani kwasasa zawadi kuu ya upendo baina yenu mnayotakiwa kupeana ni kutoka stage hiyo mliyopo sasa na muanze kuitana na kuitwa mke na mume. It always feels lovely,safe and unbreakable when you have someone who understand you better by you side and love you with his/her wholeness.
Mnatupa picha kubwa sana na funzo kuwa mapenzi kama hayo yenu, kumbe yanapatikana katika ulimwengu wa leo. keep loving and enjoying one another to the fullest.
May you enjoy these beautiful songs please.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure mamy. At the beginning watu huwa Tofauti.. Badae sasa wanaanza kuonesha Makucha na tabia zao asilia baada ya kukuzoea sasa na hapo ndipo watu hujutraaaa
Chunguzaneni kwakweli..weakness zenu mzitambue ...na kama mtaweza zihimili fungen ndoa..kuna mambo unaweza hisi ni ya kawaida ila huwa yanakuja kutikisa sana ndoa..jua km mwenza wako anawajali hata kihisia not financialliy ndugu zako esp wazaz..ukiona yupo yupo tu..jua kuna shida..vimfano ni vingi..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom