Happy 39th Birthday Dully Sykes

Happy 39th Birthday Dully Sykes

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Screenshot_20191204-185236.png
Mwimbaji Hodari wa Bongofleva Dully Sykes @princedullysykes leo December 4 ametimiza umri wa miaka 39, ni Baba wa Watoto watano na kila mmoja ana Mama yake, Mtoto wa kwanza ana miaka 15.. wa mwisho 7.

Album zake ni 3, ngoma yake ya kwanza Redioni ilisikika mwaka 1999 ‘Julieta’ produced by Mikka Mwamba...
 
Jamaa umaarufu unampenda huyu..Hachuji kama Sanecha
 
Dully kaishia miaka 15 hataki kukua tena. Happy Birthday legend. 🎂
 
Back
Top Bottom