Happy 39th Birthday Dully Sykes

Happy 39th Birthday Dully Sykes

39 duuh hii kamba
Hakuna kamba hapo umri sahihi huo, na hata humu JF umri huo wako wengi tu humu

Kizazi cha 1980's hiki , hapo ukikadiria primary kwenye 96 /95 kamaliza form 4 ,kama sio 99/20

Ndio umri wako huo, najua wengine umri huo wanauona mkumbwa,usikute ni MTU alizaliwa 90+
 
Namaanisha dully ni mkubwa ana range kwenye 40
 
Duuuh mbona kama young kid. But happy birthday legendary
 
Back
Top Bottom