Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hongera sana endelea kuteketea na mahaba.
Cc Nyani Ngabu
Hongera sana endelea kuteketea na mahaba.
Cc Nyani Ngabu
Loh!!! Hii tarehe yenu itakuwa na kumbukumbu kubwa sana.....hongereni sana Mr & Mrs Mugizi......... Valentina eti huyu ni mume wa juma ngapi yaani siku gani?
Leo tarehe 28 Julai 2015 Bwana na Bibi Richard Mugizi wanapenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha wana MMU wote kujumuika nao kusherehekea mwaka mmoja wa ndoa yao iliyojaa mapenzi na mahaba niue nteketeze niwe nyang'anyang'a mbele yako.
Karibuni jamani tufurahie.
'Valentina'
They say, you won't know what it is to be in love till you finally fall in love. But after meeting you, I finally realized what love is about. I'm crazy in love with you Mr Richard Mugizi
ladyfurahia patia mimi tishet ya UKAWA bili leta kwa Mr Mugizi pls...I love you more and most my lovely wife aka Mrs. Mugizi.
Invite more of your friends so we can paaaarrrrrry baby.
ladyfurahia patia mimi tishet ya UKAWA bili leta kwa Mr Mugizi pls...
My mume nawe wataka hizo tishet?
They say, you won't know what it is to be in love till you finally fall in love. But after meeting you, I finally realized what love is about. I'm crazy in love with you Mr Richard Mugizi
Ni ndoa ya kweli au ya Jf tuu?
ladyfurahia patia mimi tishet ya UKAWA bili leta kwa Mr Mugizi pls...
My mume nawe wataka hizo tishet?
poa nilete lini hiyo tsheti mkuu bosi wangu
naona umeona ulifanyie kazi huku ngoja niweke bango kuleeeee
ladyfurahia patia mimi tishet ya UKAWA bili leta kwa Mr Mugizi pls...
My mume nawe wataka hizo tishet?
Okey ngoja aziandae... Ntuzu na wewe tishet ngapi wataka? UKAWA mbele kwa mbele