Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Leo tarehe 28 Julai 2015 Bwana na Bibi Richard Mugizi wanapenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha wana MMU wote kujumuika nao kusherehekea mwaka mmoja wa ndoa yao iliyojaa mapenzi na mahaba niue nteketeze niwe nyang'anyang'a mbele yako.
Karibuni jamani tufurahie.
'Valentina'
Karibuni jamani tufurahie.
'Valentina'
Last edited by a moderator: