Happy baptism day Freeman Mbowe!

Happy baptism day Freeman Mbowe!

Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe

Ni hilo tu

Mungu wa mbinguni akubariki sana 😀
Huyu mzee cdm wanamwamudi hadi nyumba yake wanaisambaza kwenye mitandao
 
Amezeeka sasa aachie ngazi
Wewe nadhaji hajui kuwa cdm ni kampuni ya ukoo wa akina mbowe? Hivi unadhaji hela anayopata kupitia hii kampuni hata ungekuwa ni wewe usingeweza kuachia kampuni watu usiowajua
 
Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe

Ni hilo tu

Mungu wa mbinguni akubariki sana 😀
Huyu mzee pamoja na majinga yake mengi ana kitu kimoja tu ambacho walu kinamtofautisha yeye dhidi ya kikundi anachokiongoza
 
Siku hizi watu wanasherehekea BAPTISM DAY. Haya mapya
 
Back
Top Bottom