Happy B'day Boniface Salim

kwahyo unajilia bure tuuu
Nina ndere (dawa ya mzizi kutoka kwa babu) nikimuangalia tu mwenyewe anajileta[emoji1] [emoji1] .
Halafu wanaume tunasema hatuhongi ila nyuma ya pazia ndo utatujua, ukitangaza unahonga wanaume wenzio watakuona mzembe, domo zege, unachunwa, buzi nk[emoji125] [emoji125]
 
kuna kaukweli flan apa!
 
kama ni mchezo wa ngumi tunasema za usoni point. huweza ku declare in public
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…