Happy B'day Boniface Salim

[emoji57] [emoji57] [emoji57] usimsumbu mtoto wa watu kwa vimaji vyako uhai utakavyompa...vya mia tano!
sitak utani kabisa mwambie aje tukasherekee
mmechelwa kweli nyiee...!!!
Mimi mwenyewe namwambia azamie kwenye sherehe kusudi tumpe sufuria aoshe[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mchonje tu!!

bonyy bahili balaa...yani utafikri kwenye pesa kuna sura ya mzee Salim vile so kutumia anaona atamuuza...!
Shunie kashadoda..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji108]
Shunie kaza hapo hapo, boni kasema leo utainjoy leo anavunja kibubu
 
yan wewe ka umetumwa vile au unaona wivu mwenzio anaedna kunifilis acha tu wenzio wafaidi dada mbna unawivu kwa kaka yako
 
apo hanipati mm maji ya uhai tena geni nakuachia zigo lako [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…