Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
naona bibie hatak hutan ila yote kheri usizime simu tu usiku yakinikuta...Mzee mwenzangu hebu kavunje ATM sherehe gharama hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona bibie hatak hutan ila yote kheri usizime simu tu usiku yakinikuta...Mzee mwenzangu hebu kavunje ATM sherehe gharama hii
Ahahahhahhhnahakikisha unamaliza zote leo mpka nirud kwa miguu
ushindwe wewe tu mama leoAhahahhahhh
hana hamu kabisa yule mzee kashafika mwisho aache tu mambo ya kutabiriyaliomkuta madam wa USA si shuhuli ndogo
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]sitak utani kabisa mwambie aje tukasherekee
nimejiandaa [emoji28]ushindwe wewe tu mama leo
ha ha ha utabiri amuachie yule wa chanel tenhana hamu kabisa yule mzee kashafika mwisho aache tu mambo ya kutabiri
nipo mimi namskiliza tu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Shunie unaitwa huku
basi sawa wewe ukiwa tayr sema ufatwe wapi,,,nimejiandaa [emoji28]
wewe sema tu wapi nkufate yule mc papai asiwepo tu maana mpambe mnoonipo mimi namskiliza tu
mmechelwa kweli nyiee...!!!sitak utani kabisa mwambie aje tukasherekee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mchonje tu!!Mimi mwenyewe namwambia azamie kwenye sherehe kusudi tumpe sufuria aoshe[emoji1] [emoji1]
Shunie kaza hapo hapo, boni kasema leo utainjoy leo anavunja kibubu
ahahahhh sawa hamna shidabasi sawa wewe ukiwa tayr sema ufatwe wapi,,,
[emoji28][emoji28][emoji28]Geni njoooowewe sema tu wapi nkufate yule mc papai asiwepo tu maana mpambe mnoo
yan wewe ka umetumwa vile au unaona wivu mwenzio anaedna kunifilis acha tu wenzio wafaidi dada mbna unawivu kwa kaka yako[emoji57] [emoji57] [emoji57] usimsumbu mtoto wa watu kwa vimaji vyako uhai utakavyompa...vya mia tano!
mmechelwa kweli nyiee...!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mchonje tu!!
bonyy bahili balaa...yani utafikri kwenye pesa kuna sura ya mzee Salim vile so kutumia anaona atamuuza...!
Shunie kashadoda..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji108]
hakawii kuharibu shuhuli huyo[emoji28][emoji28][emoji28]Geni njoooo
mkuu supermarket embu njoo ukitulize hiki kibibishoga lala tu...
hapo kumsubiri bony ni km kukaa stendi bila nauli..
au kusubiri meli airport..
na Boeing itue ubungo[emoji23]
apo hanipati mm maji ya uhai tena geni nakuachia zigo lako [emoji28][emoji57] [emoji57] [emoji57] usimsumbu mtoto wa watu kwa vimaji vyako uhai utakavyompa...vya mia tano!
mmechelwa kweli nyiee...!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mchonje tu!!
bonyy bahili balaa...yani utafikri kwenye pesa kuna sura ya mzee Salim vile so kutumia anaona atamuuza...!
Shunie kashadoda..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji108]
si unaona hataki nije...?!![emoji115] [emoji115]yan wewe ka umetumwa vile au unaona wivu mwenzio anaedna kunifilis acha tu wenzio wafaidi dada mbna unawivu kwa kaka yako
[emoji28][emoji28][emoji28]Geni njoooo
nimeshindwa mm [emoji126][emoji126]yan wewe ka umetumwa vile au unaona wivu mwenzio anaedna kunifilis acha tu wenzio wafaidi dada mbna unawivu kwa kaka yako