Happy B'day Boniface Salim

[emoji15] [emoji3] [emoji3] naomba namba za@Vin diesel....

nataka nikakushtaki kwa Shem!!
Hatimaye mbaya wangu kaamka. Ngoja nikalale nisije kutenda dhambi
 
Big men are created in big days like this. Big up Bony, big up Trump you have all made a big history in the world! Wish you all the best.
 
mapenzi yangu kwako hayawezi kulinganishwa na chochote

hata yy anajua kua ur ma one an only luv of my soul switie....

a shoulder to cry on its u babe...!!
Baby geni achana na hicho kizee. Hakina nguvu kwanza .[emoji2]

Nasikia kinatumia Congo dust

Unajua nakupenda sana na ule mradi wetu Wa mkuranga Wa ufugaji nishachukua mkopo twiga bancorp[emoji2]
 
[emoji13] [emoji108] simuachi katu ndo wazuri hao...

hela zenyewe kumbe za twiga halafu washafilisika staki mieee..

rudi kazungushe mkopo huoo...mpk ukisimama kwa miguu yako ntafute

twala pensheni sie

Baby njoo tule hela ya mkopo hiiii

Baby njooo unajua nishaambiwa na trump nitakuwa Secretary of state

Sasa hutaki kupanda air force one

Unang'ang'ana na hicho kibabu kinachooendesha baby walker[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…