Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Asante sana mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mama
Inategemea n'tu na n'tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] so kale kajimbo kamanfongo kanahusikaa...!!?
Nikuchoke?? Yani ntauchokaje utamu kwa mfano??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] llohh!ushanchoka sasa...!!
babe nifungue eti...?!!
au umpe namba zangu!!
muombe my switie hapo![]()
![]()
![]()
juu namba zangu!
Mimi na wewe ni kitu kimoja, haina maana kunyimana.
Ila tusishee na KakaKiiza .... lile bazazi ni beberu na kabaila.
Linapenda kujilimbikizia mali, halipendi ujamaa kabisa.
Yani wewe ndio yule ambaye huna namba... huhesabiwi wewe kwa kuwa uko ndani yangu.kumbe kuna namba wani...?!!
mie wandanganya...!!
Leo ni siku adhimu,rafiki yangu,kaka yangu mpenzi aliweza kuletwa duniani kwa rehema na neema za Mungu!
Ametimiza miaka kadhaa hapa duniani hvyo ni jambo la kumshukuru Mungu pia kuweza kufika hapo!
Mungu akutimuzie haja zako zote unazihitaji..na uendelee kua mtoto mzuri!
Naomba mnisaidie kumuwish...
Thank u for being there for me bro...
Kila la heri...Ila nakupendaga my friend!!
Dedication;Hold u down from jlo and fat Joe...!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] so kale kajimbo kamanfongo kanahusikaa...!!?
Yani wewe ndio yule ambaye huna namba... huhesabiwi wewe kwa kuwa uko ndani yangu.
Na wewe una vitendo ndo maana kila siku unapata mimba...Hiki kibabu kina maneno!!