Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sasa hapa ndipo napotafutaga dawa yangu ya presha.pale pale pa Siku zote...
si unapajua...?!!
Kwanini lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapa ndipo napotafutaga dawa yangu ya presha.pale pale pa Siku zote...
si unapajua...?!!
Mambo mengine yatupasa kuongea kwa mafumbo mpenzihaa....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
sawa....!!
Lini sasa tunakata hiyo keki? leo au wekeend?gorofani pale...ndo pazuri
mziki mzuriii!!
Na kweli...
Miti inaota kusipo na wajenzi...
Hii haijubaliki kabisa...
Tuandamane!
Haya utaniambia kitandani...huyu ni shemela from yuleee....!!!
usikonde babe..[emoji8] [emoji8]
Msituletee mambo yenu ya facebook hapa JF. Huyo rafiki yako mpenzi sisi anatuhusu nini?Leo ni siku adhimu,rafiki yangu,kaka yangu mpenzi aliweza kuletwa duniani kwa rehema na neema za Mungu!
Ametimiza miaka kadhaa hapa duniani hvyo ni jambo la kumshukuru Mungu pia kuweza kufika hapo!
Mungu akutimuzie haja zako zote unazihitaji..na uendelee kua mtoto mzuri!
Naomba mnisaidie kumuwish...
Thank u for being there for me bro...
Kila la heri...Ila nakupendaga my friend!!
Dedication;Hold u down from jlo and fat Joe...!!
Hilo ndilo litupasalo kufanya...Ngoja nizame chimbo, nikiibuka mtoto atakuwa pembeni yangu analamba ndimu🙂
Wala usijali. Endelea kuniamini maana wajua huwa sikuangushi.
Usiache kuniombea kwa maana kazi ya kuwatumbua si rahisi sana
Nikukute without kabisa... sipendi kupoteza muda kwenye mambo muhimuntakuambia babe....
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]
Huhuhuhuhuhhhhhhhh am numbering oneNambari wanooo....
Wewe ni kiongozi wao...
hahahahahhahaha nimecheka kweli, naomba hizo dawa tuzipangie muda nazimudu loooohTatizo dawa nnazo nyingi. Naogopa zikieksipaya zitakuwa sumu.
ndo hivyo bbyto tena kwetu niliaga vizur ndo maana najiamindahhh!!!!
unaenda wapi tena wakati ulishapewa dawa? njoo narudi home saa hiiNikukute without kabisa... sipendi kupoteza muda kwenye mambo muhimu