Happy B'day Boniface Salim

Happy B'day Boniface Salim

haa....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]

sawa....!!
Mambo mengine yatupasa kuongea kwa mafumbo mpenzi
 
Leo ni siku adhimu,rafiki yangu,kaka yangu mpenzi aliweza kuletwa duniani kwa rehema na neema za Mungu!

Ametimiza miaka kadhaa hapa duniani hvyo ni jambo la kumshukuru Mungu pia kuweza kufika hapo!

Mungu akutimuzie haja zako zote unazihitaji..na uendelee kua mtoto mzuri!

Naomba mnisaidie kumuwish...
Thank u for being there for me bro...
Kila la heri...Ila nakupendaga my friend!!

Dedication;Hold u down from jlo and fat Joe...!!
Msituletee mambo yenu ya facebook hapa JF. Huyo rafiki yako mpenzi sisi anatuhusu nini?
 
sawa Ila kumbe mimi ni substitute..?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Wala usijali. Endelea kuniamini maana wajua huwa sikuangushi.

Usiache kuniombea kwa maana kazi ya kuwatumbua si rahisi sana
 
Back
Top Bottom