Happy B'day Boniface Salim

Happy B'day Boniface Salim

ha ha ha ha mkuu 50 sio mbaya sana... soon nakarbia hapo... geniveros huyu dada yangu mkuu mumewe yupo humu ndan pitia post za nyuma utamuona
Haeleweki anatuchanganya.
Eti boni anasema geni ni dada yake[emoji1]
-Yani mimi mtu mzima wa miaka 50 bado wananidanganya, wakati nimeshapitia ujanani
ni baby wake, mpenzi wake, rafiki yake
 
yaap...!!my dude....!!!


[emoji57] [emoji57] [emoji57] kwa keki moja tu ya leo?!!hebu acha zako...

taja location tukuje Ila hatuna keki

amelala dozi nzito...!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]

pm kablock

nimetumwa kwelii?!!!!
umeblockiwa kote [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom