happy bday mokoyo

happy bday mokoyo

Tayana-wog

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
24,844
Reaction score
29,126
I salute u all!!!?
back to topic
jamani leo nilikua busy na babe wangu kwa muda, hatukutaka usumbufu kwa namna moja au nyinngine, ukizingatia leo cku yake muhim ya kumbukumbu ya kuzaliwa.


mmu members hatujawaacha nyuma.karibuni kesho ndo party



happy bday Mokoyo
 
Happy birthday
 

Attachments

  • 1381441010664.jpg
    1381441010664.jpg
    34.5 KB · Views: 71
Nianze kwa kumshukuruMwenyenzi Mungu aliyeniumba na kunifanya niwepo hapa duniani. Hakika siwezikusema ni kwa nguvu, elimu, kazi, biashara au pesa ndio zimenifikisha hapa balini kwa rehema na neema zake. Kuna rafiki zangu wengi niliokuwa nakua nao lakiniwalishafariki miaka mingi na wengine miaka ya karibuni; Je mimi ni nani nipompaka leo? Je mimi si mwenye dhambi? La hasha mimi ni mkosaji sana. Mungunaomba uendelee kunisamehe na kunirekebisha tabia na mienendo yangu ili niurithi ufalme wa mbinguni. Kipekee nimshukuru Mamayangu mzazi kwa kunizaa na kunilea. Mama unafahamu mapito uliyopitaka katikakunilea. Mama umekuwa nguzo yangu na ngao yangu kwenye maisha yako, ushauriwako pekee umenifanya kuwa hodari lakini zaidi maombi yako yamenifanya kuwa salamana imara maishani mwangu. Mama nakuahidi nitaendelea kukutunza siku zotetutakazokuwa hapa duniani. Mungu akubariki na kukujalia afya njema Mama yangumzazi. Pia niwashukuru Mama zangu wadogo na wajomba zangu na dada yangu kwamalezi yenu katika kukua kwangu na kusoma kwangu mpaka leo najitegemea imarapasipo wasiwasi. Mungu awabariki sana ninyi na familia zenu na maisha yenu. Mwisho niwashukururafiki zangu zote kwenye eneo langu la kazi, nyumbani, hapa JF na kwingineko.Nawapenda sana
 
Back
Top Bottom