Asante sana bestie, hilo swali lako atakuja kujibu bibie mwenyewe christine Ibrahim,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana bestie, hilo swali lako atakuja kujibu bibie mwenyewe christine Ibrahim,
hahahahahahahhaha Mkuu umenifurahisha sana aisee; hii makitu ni lazima kuimiliki otherwise unapoteza sifa kwa hawa viumbe
Mkuu mwaliko utakuja saa nane mchana na wewe lazima ukuhusu
DEMBA, naomba nikutambulishe rasmi kwa wifi yako christine Ibrahim
duuuh!!!!!!!!hongera sana. naona mtoto christine ibrahim amekudondokea gafla. what happen to Munkari
I salute u all!!!?
back to topic
jamani leo nilikua busy na babe wangu kwa muda, hatukutaka usumbufu kwa namna moja au nyinngine, ukizingatia leo cku yake muhim ya kumbukumbu ya kuzaliwa.
mmu members hatujawaacha nyuma.karibuni kesho ndo party
happy bday Mokoyo
heheheee shosti hujui ka nshapewa talaka miye tena tatu loh!!
Asante sana bestie, hilo swali lako atakuja kujibu bibie mwenyewe christine Ibrahim,
hata mimi nilitaka kuuliza hivyohivyo. lakini si umesikia tina anavyosema ni bebi wa muda (ONE NIGHT STAND)
anyway happy birthday makoyo!!!!!!!!!!
hapo ndo kuna maswali makubwa.....ngoja besidei iishe ili tupate majibu
ndo najiandaa hivyo naenda hukohuko kwa bday hakatwi mtu hapa!!!!
Heri ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mokoyo...
Tina hiyo pati ni wapi tuje kutia sunna?
ukienda jirani....mie nibebee paja la kuku...