Kama angekua hai basi jana angekua anatimza miaka 31,ila wauza unga wakakatisha uhai wake na tukaporwa kipaji chetu bora kabisa kutokea hapa tz.
Upi ni wimbo wako bora toka kwa cowizy au line kali toka kwake?
R.i.p albert
Kifoo chakee kime sikitisha wengi nakushangazaa pia
kani ukifaa unaendelea kuhesabiwa miaka tena habar yako ishaa ishia apo?
ulazweepahala pemaa jembee?