Happy birth day Denzel Hayes Washington, jr...!

Happy birth day Denzel Hayes Washington, jr...!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
huyu celebrity kazaliwa tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo mwaka 1954.

LONG live denzel. you are my favorite actor.

Denzel-Washington_Incredible-actor_679.jpg
Denzel-Washington_Fantastic-actor_678.jpg

Denzel-Washington2.jpg

denzel, ana utajiri unaokadiriwa kuwa dola milioni 150 za kimarekani, huku akiwa msanii anayengeneza dola milion 40 za kimarekani kwa mwezi.

denzel is married to paulleta pearson mwaka 1983 june 25, amezaa nae watoto wanne mabao ni john david, katia, na akapata watoto mapacha ambao ni olivia na malcolm.

Denzel Washington Salary:

American Gangster (2007)
$20,000,000

Man on Fire (2004)
$20,000,000

Out of Time (2003/I)
$20,000,000

Training Day (2001)
$12,000,000

The Hurricane (1999)
$10,000,000

The Siege (1998/I
) $12,000,000

Fallen (1998)
$12,000,000

Courage Under Fire (1996)
$10,000,000

Virtuosity (1995)
$7,500,000
 
ka mkubwa, una maana gani hapa?

Mkuu anamaanisha movie ya denzel ya john q ilikua poa sana ila mi aliniacha hoi sana kwenye american gangster na russel crowe maana aliuvaa uhusika kweli.
 
Mkuu anamaanisha movie ya denzel ya john q ilikua poa sana ila mi aliniacha hoi sana kwenye american gangster na russel crowe maana aliuvaa uhusika kweli.

Alinifurahisha pia alivyompa frank lucas hela plus alivyoact kama frank lucas na pia cuba gooding alivyoact vizuri kama mr untouchable nicky barnes.....
 
Mkuu anamaanisha movie ya denzel ya john q ilikua poa sana ila mi aliniacha hoi sana kwenye american gangster na russel crowe maana aliuvaa uhusika kweli.

oh,! nimeelewa sasa mkuu!

naomba kama una movie zozote za denzel unitumie please! i will give you my e-mail
 
Alinifurahisha pia alivyompa frank lucas hela plus alivyoact kama frank lucas na pia cuba gooding alivyoact vizuri kama mr untouchable nicky barnes.....

hahahaaa!! umenifurahisha uliji-quote.. nimetafuta aliyekuwa quoted, kumbe ni wewe mwenyewe! teh!
 
oh,! nimeelewa sasa mkuu!

naomba kama una movie zozote za denzel unitumie please! i will give you my e-mail

Mkuu usjali pm me email yako ntacheki namna ya kukutumia ninazo karibia zote kuna moja kaact na don cheadle ni nzuri sana ila ina maudhui ya zamani nayo ntakupatia ila kwa kuanzia anza na american gangster
 
Tafuta na hizi mkuu!
Mississippi massala
Malcom x
2 guns (latest)
 
movie hiyo ya jamaa inaitwa john q ya muda kidogo ila ni nzuri....

mkuu unayo unayo kwenye device yako yoyote?

please kama unaweza kuwa na movie za huyu besti wangu, nitumie..
 
Back
Top Bottom