Happy birth day Isaac

Sasa mim nitashindwaje kumjua anayemfukuzia mjukuu wangu.? Huo si uhujumu wajukuu. Wewe pitia commented kwanzia ya #2 hadi ya #40 utamjua.
Hahahahaaa babuuu
 
mwenyewe jovitha hataki tumjue si angetutajia I'd yake anayotumia
Tatizo Isaac hataki alfu nn huwezi jua lbd alishawahi tongoza mtu humu kala papuchi yk then kambwaga naepusha. Mambo mengi,,,


VIJEMBE[emoji118] [emoji124] [emoji124]
 
Tatizo Isaac hataki alfu nn huwezi jua lbd alishawahi tongoza mtu humu kala papuchi yk then kambwaga naepusha. Mambo mengi,,,


VIJEMBE[emoji118] [emoji124] [emoji124]
kweli lkn ila unaogopa nn na wkt ww ndio mwenye mali sasa hivi jiamini bana
 
Nafuatilia nimuone Isack..sasa sijui yupi..S,G or D!!huyo G ndiyo yupo Siasani!!!lo nimeshindwa kusoma taratibu ujue!

Happy bdei Isack!!
 
Huu ujumbe kwa Isaac unasura/rangi mbili.
Moja nikweli umemtakia kheri ya siku yake kuzaliwa.....
Pili naona rangi ya kawivu kwambaaaaali.......

Usiniulize nimejuaje
 
Hicho kiherehere cha kumtakia happy birthday mtu ambae mmeshaachana umekitoa wapi kwa mfano?!![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…