Asante comrade.....J wewe ndio mke unamuombeaje sasa apate mke mwema?
Alafu wewe Isaac kama upo kweli humu jua hutokuja kupata anayekupenda kama jovitha hapa [emoji23]
Happy birthday to Isaac
Long live our shemeji
Heshima ikurejee comrade.....[emoji144]Hicho kiherehere cha kumtakia happy birthday mtu ambae mmeshaachana umekitoa wapi kwa mfano?!![emoji1][emoji1][emoji1]
Isaack hajamboNn sasa
Aisee hebu nitumie picha yake nizione mkuu.Wewe utakua ndio wale wanao kula chips kuku
[emoji4] [emoji4]Asante comrade.....
Kumbe nawewe umelitazama hili kwa jicho la tatu....
Wewe ni mpuuzi sanaHabari za pasaka wapedwaaa pamoja na uchoyo wa mialiko ya pasaka nimekula mapochopocho kwa lazimaa...........Niende moja kwa Moja kwenye madaaaa....
Jamani Leo ni Siku ya kuzaliwa ya Isaac anatimiza miaka.............atakuja kusema mwenyewe nadhani hilo jina litakuwa si geni kwa baadhi ya watu humu.....nahisi mkiniona mtamkumbukaaa km angeniruhusu ni mtaje jina analotumia humu jf ningelitajaa ,,, ....NAKUOMBEA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE BARAKA TELE NA AMANI,,,UPATE MKE MWEMA MZAE NA WATOTO WAKAONGEZE UPENDO KWENYE NYUMBA YENUUUU[emoji122] [emoji122] [emoji257] [emoji257] [emoji307] [emoji307] [emoji320] [emoji320] [emoji322] [emoji322] [emoji324] [emoji324] [emoji512] [emoji512] [emoji486] [emoji486] [emoji485] [emoji485]
Ohooooo.....[emoji15] [emoji15]Unaanzisha ligi wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nasalivate kwa hamu ya kumfahamu!!usikimbie nimepatia eeh!![emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We birthday yako ni lini mkuuHappy birthday Isaac Jovitha loves youuuu
Usituanzishie nyuzi za kipuuzi kama hizi.So unatakaje