Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Bibie umeadimika sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibie umeadimika sana!
Hbd mwenye bahati yakeHappy birthday babe wa jje's
Bibie umeadimika sana!
sawa bana usipotee sana basi nisalimie hukoNifichwe wapi basi,mambo mengi tu mkuu
sawa bana usipotee sana basi nisalimie huko
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTsalamu zimefika mkuu
Birthday yako na wewe lini?, tule japo keki
Birthday yako na wewe lini?, tule japo keki
Njoo huku kwenye birthday party ya STUNTER utanikuta Mr bodyguard naimarisha ulinzi upo salama.
AmenHahahah Nimefurahi sana kukuona hapa chief a.k.a bondia heavyweight... Ubarikiwe sana
Njoo huku kwenye birthday party ya STUNTER utanikuta Mr bodyguard naimarisha ulinzi upo salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenOooh Amen shem[emoji2956][emoji2956][emoji56][emoji56][emoji56] Mungu akulinde na akupe mafanikio zaidi[emoji1431][emoji1431][emoji1430][emoji2956]
Woow hizo mbinusio salama kwa penzi langu.Kumbe shem ndo amekukataza kuonekana sana jf,
Nitakupa mbinu mpya za kuingia jf daily kimya kimya hata ukiwa biz bila yeye kushtuka[emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo dear. Sema Mara nyingi nasoma soma tuu. Natafuta Uzi wa kukomenti sionagi.[emoji23][emoji23]hakuna kuchelewa baby ake
mambo yako lakini? umekuwa adimu sana my love