Happy birth day; Safari Lager

Happy birth day; Safari Lager

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Posts
2,806
Reaction score
3,485
Kwa wale wenzangu na mimi Bazazi!
Wasio wanachama wa vyama vya wagomvi (siasa na dini)
Leo ni siku muhimu sana;​
Bia yetu Maarufu "SAFARI LAGER"
Ilizaliwa siku ya leo;
Mama yake ni TANZANIA BREWERIES LTD;
Na ndio maana huandikwa "Since 1977"
Happy Birth Day Bia ya Safari.

Nawaomba leo tuwe katika maeneo ya viti virefu kwa ajili ya kuburudika na ladha thabiti sifa kamili;
Naam huo ndio Urithi Wetu, tinywe, hadi titambae.

Na walevi na wanywaji wote na waseme - AMEN.

Bazazi ni Bazazi!
 
Hapa nilipo ninamalizia drip ya mwisho, manesi wakichelewa tu naichomoa,nitaiwakilisha b'day japo kwa SAFARI WATER leo jioni.
:A S thumbs_up::clap2::spit:😛eep:
 
Ha ha mkuu dah kinywaji changu hiki utam muruaa aisee ningekuwa siko kwenye dozi leo ningelala bar
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Asprin ana taarifa hii?

Asprin!
Uko wapi utjibu hii Hoja?

Bazazi!
Niko hapa Bazazi na Roulette.......... Veeeeeeeeeeeeeeeeeeeery busy!!

P7140409.JPG
 
Last edited by a moderator:
*HAPPY BIRTHDAY*

Leo katika kumbukumbu!!!
Je unafahamu ya kuwa *"SAFARI BEER"* tarehe ya leo 04/02/2020 imetimiza miaka 43 tangu ilipozinduliwa katika bustani za New Arusha Hotel mkoani Arusha.
Mgeni rasmi alikuwa mjumbe wa Kamati kuu ya TANU Ndugu Kalubu, wakati huo TBL ilikuwa chini ya General Manager Mzee Ernest Shelukindo, Production controller mwingereza G.K.Gallon. na Marketing controller alikuwa marehemu Mzee Itatiro. Hii ilikuwa tarehe 4/2/1977.*

NB: Taarifa za awali zilionesha ni tarehe 05/02/1977.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mai bia haki..[emoji2]
1580838191241.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serengeti anaigaragaza sana hii beer japo kuna watu hata umwambieje lazma apige safari
 
Kiu ya safari sio mchezo. Ina majini.
Safariii yaa barriiidiii kama barafu kwenye jua kali la jiji la dsm. Raha mustarehe.
 
*HAPPY BIRTHDAY*

Leo katika kumbukumbu!!!
Je unafahamu ya kuwa *"SAFARI BEER"* tarehe ya leo 04/02/2020 imetimiza miaka 43 tangu ilipozinduliwa katika bustani za New Arusha Hotel mkoani Arusha.
Mgeni rasmi alikuwa mjumbe wa Kamati kuu ya TANU Ndugu Kalubu, wakati huo TBL ilikuwa chini ya General Manager Mzee Ernest Shelukindo, Production controller mwingereza G.K.Gallon. na Marketing controller alikuwa marehemu Mzee Itatiro. Hii ilikuwa tarehe 4/2/1977.*

NB: Taarifa za awali zilionesha ni tarehe 05/02/1977.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana my dear Bazazi
 
Back
Top Bottom