Mai bia haki..[emoji2]*HAPPY BIRTHDAY*
Leo katika kumbukumbu!!!
Je unafahamu ya kuwa *"SAFARI BEER"* tarehe ya leo 04/02/2020 imetimiza miaka 43 tangu ilipozinduliwa katika bustani za New Arusha Hotel mkoani Arusha.
Mgeni rasmi alikuwa mjumbe wa Kamati kuu ya TANU Ndugu Kalubu, wakati huo TBL ilikuwa chini ya General Manager Mzee Ernest Shelukindo, Production controller mwingereza G.K.Gallon. na Marketing controller alikuwa marehemu Mzee Itatiro. Hii ilikuwa tarehe 4/2/1977.*
NB: Taarifa za awali zilionesha ni tarehe 05/02/1977.
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuwa sina bia maalum ila SAFARI LAGER ni bia bora numeri uni Tanzania. Tatizo lake kuu ni ukali wa kilevi chake tu.Serengeti anaigaragaza sana hii beer japo kuna watu hata umwambieje lazma apige safari
Hongera sana my dear Bazazi*HAPPY BIRTHDAY*