Happy birthdate to me Petro E. Mselewa!

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Tarehe kama ya leo,Jumanne ya tarehe 16 mwezi Februari mwaka 1982 nilizaliwa.

Nikitimiza miaka 35 leo,namshukuru Mungu kwa yote ninayoyapata,kuyasikia na kuyaona. Nawashukuru,ingawa wote ni marehemu,wazazi wangu.

Pia,nawakubali ndugu,jamaa na marafiki wote. Nawahakikishia wote,tupo pamoja!
 
Pole kwa ukiwa..
Ila hongera kwa maisha marefu, ni wengi sana hawajafikisha huo umri..

HBD to you
 
Happy birthday to you kiongozi
 
Ooh happy birthday to you Petro...

Mungu azidi kukulinda na kuongeza furaha yako
 
Naungana na mkuu Valentina kukuwishi happy b'day. aliyosema Vale yote yakawe kwako.

Mungu akutunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…