Happy Birthday Asprin babuu

Happy Birthday Asprin babuu

Dah... sasa hata nikiiombea itatokea? Basi tu yani tunamwachia Mungu au shetani liwalo litakalokuwa.... ikitokea ndo hivyo tena kunakuwa hakuna jinsi. Isipotokea ndo basi tena tunavumilia maumivu
Aisee wewe babu hapana.
 
Hahahahaaa asante kwa heri na baraka zako babu ndo maana huwa nakupenda.
Basi kabla wiki mbili hazijaisha tutakuja na Nyani Ngabu kukusalimu......

Laana yako naiogopa maana miezi sita ni nusu mwaka looh muda wote huo kukaa bila kifanyio nahisi pataota kutu heheehee
Na kwa taarifa yako the Monkey kanigongea like kwenye post yangu moja. Hii ni dalili kuwa hapa si sehemu salama kwangu tena.

Usiponisoma kwa wiki tatu zijazo anzisha sredi ya kunitakia kifo chema.

Ngoja nikale mananasi ya mwishomwisho
 
Fanya risechi kidogo... ila usimguse Kasinde kama unapenda kubakia na pumzi yako ya uhai. Kama vipi kamata aliyeanzisha thread
Ngoja nifanye risechi kwanza then nitakutajia. Nataka dogo dogo hivi. Huyo Kasinde wala sigusi
 
Na kwa taarifa yako the Monkey kanigongea like kwenye post yangu moja. Hii ni daliThe
i kuwa hapa si sehemu salama kwangu tena.

Usiponisoma kwa wiki tatu zijazo anzisha sredi ya kunitakia kifo chema.

Ngoja nikale mananasi ya mwishomwisho

Hahahaaaaaaaa hihihihiiii heheheheeee aaah Big Sam umenifurahisha asubuhi hii acha tuu.
Mie nilijua nyie wote ni ze legendis (The Legends) hivyo mwajuana kwa vilemba kumbe sivyo laah.

Nachojua simba hamuui simba mwenzie japo huwa wanakwaruzana.

Haya wasalimie bagamoyo tena umenikumbusha nimtengenezee Ngabu pineapple pie kwa mlo wa jioni.

Haya ntakufatilia kwa wiki 2 (with Nyani Ngabu escorts lools) nione kama umekuwa terrorised au bado upo heheheee
 
Kweli malegendari hatudhuriani kwenye mambo ya kijamii. Ila pale via vya uzazi vinapohusishwa..... mamamiaaaa!!

Sharing is caring lakini kuna vitu vya kushea na vingine ni sumu.

Nayapenda maisha yangu Kasie. Bora kifo cha risasi kuliko cha kuuliwa na Nyani.
 
Happy Birthday Kuli.... Bishanga angekuwepo anhekuwa mwenyekiti wa kamati ya sherehe.....
Bishanga tumempa uongozi TFF (ndo ujue wabongo tulivyo na akili). Hawezi kuwa chairman wa shughuli pevu kama hii.

Unakumbuka Nyani Ngabu alivokuwa anampelekesha kwenye vita vya wabebz??

Mungu saidia Kasie Kasinde asiisome hii post. Na hata akiisoma asiielewe.... aftaroo natania tu.
 
Kweli malegendari hatudhuriani kwenye mambo ya kijamii. Ila pale via vya uzazi vinapohusishwa..... mamamiaaaa!!

Sharing is caring lakini kuna vitu vya kushea na vingine ni sumu.

Nayapenda maisha yangu Kasie. Bora kifo cha risasi kuliko cha kuuliwa na Nyani.

Hahahahaaa asante kwa ufafanuzi mzuri......

Big up to you babu.

To: Nyani Ngabu ...... you rock pinaple honey pie
Will always lo ya ...... always lean on ya shoulder
Always my staftahi. ........
Koh koh koh koh koh
 
Japokuwa kiukweli kabisa wivu sina.... ila kiukweli kidogo japo si sana karoho kananiuma.

Hivi kwanini Mungu anaruhusu haya yatokee? Kwanini anaruhusu nisononeke moyoni??

Hivi huna hata kamdogo kako ili malejendari tuoe nyumba moja?

Tunakuahidi ulinzi shirikishi na baraka za kifamilia upande wa ukweni.
 
Hee...!!!!...ilikuwaje hii sherehe sikualikwa.......?....kuna mtu ameingilia kitengo changu cha upambaji eeeh.....
Sasa NANUNA.......
 
Bishanga tumempa uongozi TFF (ndo ujue wabongo tulivyo na akili). Hawezi kuwa chairman wa shughuli pevu kama hii.

Unakumbuka Nyani Ngabu alivokuwa anampelekesha kwenye vita vya wabebz??

Mungu saidia Kasie Kasinde asiisome hii post. Na hata akiisoma asiielewe.... aftaroo natania tu.
Bishanga tumempa uongozi TFF (ndo ujue wabongo tulivyo na akili). Hawezi kuwa chairman wa shughuli pevu kama hii.

Unakumbuka Nyani Ngabu alivokuwa anampelekesha kwenye vita vya wabebz??

Mungu saidia Kasie Kasinde asiisome hii post. Na hata akiisoma asiielewe.... aftaroo natania tu.
hahahahaha yule mzee wa totozi ndo prezidaa. Mfuate pale karume akupe namba sa vile vibinti vya zamani
... Nyani Ngabu ameachiwa uhuru sasa baada ya Bishanga kuikimbia ID yake
 
Hee...!!!!...ilikuwaje hii sherehe sikualikwa.......?....kuna mtu ameingilia kitengo changu cha upambaji eeeh.....
Sasa NANUNA.......
Nilikuwa najiuliza ni mwanaume gani aliyemuoa mshiki angu bila mi kujua... akamfungia ndani hata asije kwenye shughuli ya blaza...

Una kesi ya kujibu, naende kukusemelea kwa mama
 
Back
Top Bottom