Aisee wewe babu hapana.Dah... sasa hata nikiiombea itatokea? Basi tu yani tunamwachia Mungu au shetani liwalo litakalokuwa.... ikitokea ndo hivyo tena kunakuwa hakuna jinsi. Isipotokea ndo basi tena tunavumilia maumivu
Na kwa taarifa yako the Monkey kanigongea like kwenye post yangu moja. Hii ni dalili kuwa hapa si sehemu salama kwangu tena.Hahahahaaa asante kwa heri na baraka zako babu ndo maana huwa nakupenda.
Basi kabla wiki mbili hazijaisha tutakuja na Nyani Ngabu kukusalimu......
Laana yako naiogopa maana miezi sita ni nusu mwaka looh muda wote huo kukaa bila kifanyio nahisi pataota kutu heheehee
Khaa! Kwahiyo ningekuwa mwanasiasa nisingepata kura yako? Nipe kura ya ndio upate baraka....Aisee wewe babu hapana.
Hahahaha labda unipunguzie mchepuko wako mmoja nitakupa kura yanguKhaa! Kwahiyo ningekuwa mwanasiasa nisingepata kura yako? Nipe kura ya ndio upate baraka....
Chagua mmoja kati ya hawa kumi na kadhaa wa JF.Hahahaha labda unipunguzie mchepuko wako mmoja nitakupa kura yangu
Wataje wote kwanzaChagua mmoja kati ya hawa kumi na kadhaa wa JF.
Na kwa taarifa yako the Monkey kanigongea like kwenye post yangu moja. Hii ni daliThe
i kuwa hapa si sehemu salama kwangu tena.
Usiponisoma kwa wiki tatu zijazo anzisha sredi ya kunitakia kifo chema.
Ngoja nikale mananasi ya mwishomwisho
Kweli malegendari hatudhuriani kwenye mambo ya kijamii. Ila pale via vya uzazi vinapohusishwa..... mamamiaaaa!!Hahahaaaaaaaa hihihihiiii heheheheeee aaah Big Sam umenifurahisha asubuhi hii acha tuu.
Mie nilijua nyie wote ni ze legendis (The Legends) hivyo mwajuana kwa vilemba kumbe sivyo laah.
Nachojua simba hamuui simba mwenzie japo huwa wanakwaruzana.
Haya wasalimie bagamoyo tena umenikumbusha nimtengenezee Ngabu pineapple pie kwa mlo wa jioni.
Haya ntakufatilia kwa wiki 2 (with Nyani Ngabu escorts lools) nione kama umekuwa terrorised au bado upo heheheee
Bishanga tumempa uongozi TFF (ndo ujue wabongo tulivyo na akili). Hawezi kuwa chairman wa shughuli pevu kama hii.Happy Birthday Kuli.... Bishanga angekuwepo anhekuwa mwenyekiti wa kamati ya sherehe.....
Kweli malegendari hatudhuriani kwenye mambo ya kijamii. Ila pale via vya uzazi vinapohusishwa..... mamamiaaaa!!
Sharing is caring lakini kuna vitu vya kushea na vingine ni sumu.
Nayapenda maisha yangu Kasie. Bora kifo cha risasi kuliko cha kuuliwa na Nyani.
Japokuwa kiukweli kabisa wivu sina.... ila kiukweli kidogo japo si sana karoho kananiuma.Hahahahaaa asante kwa ufafanuzi mzuri......
Big up to you babu.
To: Nyani Ngabu ...... you rock pinaple honey pie
Will always lo ya ...... always lean on ya shoulder
Always my staftahi. ........
Koh koh koh koh koh
Bishanga tumempa uongozi TFF (ndo ujue wabongo tulivyo na akili). Hawezi kuwa chairman wa shughuli pevu kama hii.
Unakumbuka Nyani Ngabu alivokuwa anampelekesha kwenye vita vya wabebz??
Mungu saidia Kasie Kasinde asiisome hii post. Na hata akiisoma asiielewe.... aftaroo natania tu.
hahahahaha yule mzee wa totozi ndo prezidaa. Mfuate pale karume akupe namba sa vile vibinti vya zamaniBishanga tumempa uongozi TFF (ndo ujue wabongo tulivyo na akili). Hawezi kuwa chairman wa shughuli pevu kama hii.
Unakumbuka Nyani Ngabu alivokuwa anampelekesha kwenye vita vya wabebz??
Mungu saidia Kasie Kasinde asiisome hii post. Na hata akiisoma asiielewe.... aftaroo natania tu.
Preta upo? Nimekuona kiungo kikashtuka na kuwa kigumuHee...!!!!...ilikuwaje hii sherehe sikualikwa.......?....kuna mtu ameingilia kitengo changu cha upambaji eeeh.....
Sasa NANUNA.......
Nilikuwa najiuliza ni mwanaume gani aliyemuoa mshiki angu bila mi kujua... akamfungia ndani hata asije kwenye shughuli ya blaza...Hee...!!!!...ilikuwaje hii sherehe sikualikwa.......?....kuna mtu ameingilia kitengo changu cha upambaji eeeh.....
Sasa NANUNA.......
Acha umbeya. Haikuhusu.God forbid...!!!