Happy Birthday Asprin babuu

Happy Birthday Asprin babuu

Happy belated birthday mkuu. Hope you enjoyed
 
Happy birthday Asprin
Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuchekesha (Binafsi napenda sana vituko vyako).
Thanks honey..... Ukiwa huku unakuwa mrembo kuliko ukiwa jukwaa la siasa. Ushaona tofauti kati ya Bi. Kidude na K-Lyn??

Twende PM nikakutekenye kwa umbea mpya wa Wema na Zari.
 
happy born day my x mchepuko.....sorry kwa late wishes nilibanwa na serengeti buoy
 
Attachments

  • 385443_142786282493904_913524820_n.jpg
    385443_142786282493904_913524820_n.jpg
    16.8 KB · Views: 45
Thanks honey..... Ukiwa huku unakuwa mrembo kuliko ukiwa jukwaa la siasa. Ushaona tofauti kati ya Bi. Kidude na K-Lyn??

Twende PM nikakutekenye kwa umbea mpya wa Wema na Zari.
Hahahahaaa hebu nitumiepo huo umbea PM
 
Back
Top Bottom