Happy birthday Asprin

Happy birthday Asprin

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
24,684
Reaction score
28,777
Miaka kadhaa nyuma trh kama yaleo dunia ilipata kiumbe kipya,wazazi pamoja na ndugu na jamaa walifurahi na kushangilia ujio wa kiumbe hiki...

Hatimae kikakua katika kimo na ufahamu mpaka hapo kilipo... Umekua ni chachu ktk familia na rafiki wa rika zote. Ashukuriwe Mungu aliekuumba na kukupigania dhidi ya yule mwovu. Washukuriwe wazazi/walezi walio jitoa kwako bila kusahau marafiki waliokujenga kwa changamoto mbalimbali

Life is very short,
So enjoy every moment,
Dont lose your confidence
Go always ahead.

Happy Birthday to you Asprin

Ila uache ubazazi sasa ushazeeka we kizee
 
Hahahahaa.... yani umeanza vizuri ukamalizia vibaya. Mi nimemuachia Mungu.

Thanks for the wishes Valentina wangu. Am humbled

Yes I will marry you!
 
Happy birthday babu Asprin mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu na yenye baraka tele.
kiwatengu muandalie babu juice ile kubwa sijui inaitwa black or red lebel.Mie na hubby Rogie tutakuwepo kwenye party msisahau Fursana zetu.
Njooni huku mkatakie kazee ki.om.i happy birthday Cc Heaven Sent geniveros @atoto Khantwe......
Thank you Honey Faith

Sitakuangusha nakuahidi...

Niko hapa kwa wakala wa M/Tigo Pesa, unaruhusiwa sasa kurusha yale mapene.

Yes... It is my Birthday!!
 
Halafu haka kazee nahisi kanakula miaka ya watu wengine.

Miaka 90+ halafu bado yupo hai maana yake nini?..........Heri ya kuzaliwa Babu.
Cha kushangaza kadri kanavopunguza miaka ndivo kanavokua beduhi
 
Hahahahaa.... yani umeanza vizuri ukamalizia vibaya. Mi nimemuachia Mungu.

Thanks for the wishes Valentina wangu. Am humbled

Yes I will marry you!
Ooh hapo mwisho hapo[emoji39]

Upo tayari kuacha ile mipango kando yako lakini?
 
happy day my switie love,grannpa,babes the one an only true love,friend I can smile when am sadd....!!

u know I luv u sooo much my switie darling!

nakupenda sana sana my babu may God bless u in every corner,every angel..

protect u right,hold left..

guide u back and be with u foward...

I love uu!!
 
Back
Top Bottom