Miaka kadhaa nyuma trh kama yaleo dunia ilipata kiumbe kipya,wazazi pamoja na ndugu na jamaa walifurahi na kushangilia ujio wa kiumbe hiki...
Hatimae kikakua katika kimo na ufahamu mpaka hapo kilipo... Umekua ni chachu ktk familia na rafiki wa rika zote. Ashukuriwe Mungu aliekuumba na kukupigania dhidi ya yule mwovu. Washukuriwe wazazi/walezi walio jitoa kwako bila kusahau marafiki waliokujenga kwa changamoto mbalimbali
Life is very short,
So enjoy every moment,
Dont lose your confidence
Go always ahead.
Happy Birthday to you
Asprin
Ila uache ubazazi sasa ushazeeka we kizee